Back to home

Wakenya waliotazama mechi wameelezea furaha yao

video
August 4, 2025
7h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Kufuatia ushindi huo wa Harambee Stars, Wakenya waliotazama mechi hiyo walieleza furaha yao, huku wakiwa na matumaini kwamba timu hii ya taifa itaendelea kufanya vyema katika mashindano hayo ya CHAN..