Back to home

Timu ya Kenya yashinda mechi dhidi ya timu ya DRC

video
August 4, 2025
7h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Mchezaji Austine Rolls Royce Odhiambo aliifungia Harambee Stars bao la pekee na la ushindi katika mechi ya mchuano wa CHAN dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo uwanjani Kasarani. Mchezaji huyo anayechezea klabu ya Gor Mahia alifunga bao hilo katika dakika za mwisho za kipind..