Back to home

Kizaazaa chazuka eneo la transformer huko Tudor Mombasa

video
August 4, 2025
4h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Vurumai ilishuhudiwa katika eneo la transformer Tudor kaunti ya Mombasa hii Ni baada ya spika wa Bunge la kaunti Na baadhi wawakilishi wadi kuongoza ubomoaji wa mkahawa unaodaiwa kujengwa kwenye ardhi ya serikali..

Kizaazaa chazuka eneo la transformer huko Tudor Mombasa (Video)