Back to homeWatch Original
Waziri wa Utumishi wa Umma Geoffrey Ruku awataka watumishi wa umma kuvalia jezi ya Harambee Stars
video
August 4, 2025
19h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Waziri wa Utumishi wa Umma, Maendeleo ya Raslimali Watu na Programu Maalum, Geoffrey Ruku, sasa amewataka watumishi wa umma kujiunga na timu ya Kenya Harambee Stars kwa kuvalia jezi ya timu hiyo ili kuwapa motisha wachezaji hao wakati huu wa mashindano ya CHAN. Subscribe to NTV ..