Back to homeWatch Original
KHRC yataja Hazina ya Hustler kuwa duni kiuchumi, dhaifu kimfumo, na yenye nia fiche za kisiasa
video
August 4, 2025
2d ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Tume ya Haki za Binadamu nchini, KHRC, imezua mjadala mkali baada ya kutoa ripoti mpya inayoitaja Hazina ya Hustler kuwa duni kiuchumi, dhaifu kimfumo, na yenye nia fiche za kisiasa. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news upd..