Back to homeWatch Original
Nicholas Musonye anena kuhusu suala la uuzaji wa tiketi za kipute cha CHAN
video
August 4, 2025
4h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Mwenyekiti wa kamati andalizi ya kipute cha CHAN Nicholas Musonye amejitetea kuhusu suala la uuzaji wa tiketi. Tarayi yameibuka madai kwamba baadhi ya watu walinunua tiketi nyingi na kuwauzia mashabiki huku wengine wakikosa wateja. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenya..