Back to home

Waziri Ogamba akiri shule 42 Tharaka Nithi ziko katika hali duni

video
August 4, 2025
4h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

WAZIRI WA ELIMU MIGOS OGAMBA SASA AMEKIRI KUWA SHULE 42 ZIKO KWENYE HALI DUNI KATIKA KAUNTI YA THARAKA NITHI NA ZINAHITAJI UKARABATI. OGAMBA AMEKIRI HAYA BAADA YA TAARIFA ILIYOPEPERUSHWA HAPA CITIZEN KUONYESHA JINSI BAADHI YA WANAFUNZI WAMEKOSA HATA MADAWATI NA KUSOMEA..