Back to homeWatch Original
Walimu walaumu nyongeza ya mishahara: TSC yapingwa kwa ahadi za uongo
video
August 4, 2025
4h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Dukuduku limeibuka miongoni mwa walimu nchini, wiki mbili baada ya tume ya kuwaajiri walimu TSC na viongozi wao kuafikiana kuwaongeza mishahara. Walimu wengi wakishikwa na butwaa baada ya kupata mishahara yao kwani wengine wanalalamikia kupata nyongeza ya shilingi elfu moja peke..