Back to home

Wanaharakati wasema wakandarasi hufanya kazi duni

video
August 5, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wanaharakati katika eneo Lokichogio Turkana magharibi wamejitokeza kulalamikia hatua ya mwanakandarasi mmoja aliyetwikwa jukumu la kuunda vyumba vya bei nafuu vinavyofadhiliwa na serikali ya kaunti katika eneo la Lorus,wakidai amefanya kazi duni..