Back to home

James Barasa Mukhongo ameaga dunia akipokea matibabu

video
August 5, 2025
18h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Mwakilishi wadi wa chwele/kabuchai katika eneo bunge la Kabuchai kaunti ya Bungoma James Barasa mukhongo ameaga dunia akipokea matibabu katika hospitali moja mjini bungoma baada ya kuugua ugonjwa wa saratani..