Back to home

Serikali ya kaunti yatoa ilani kwa wenye vibanda kuvindoa

video
August 6, 2025
3d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Serikali ya kaunti ya Garissa pamoja na mamlaka ya barabara kuu nchini KENHA wametoa ilani kwa wafanyabiashara mjini humo ambao wamevamia sehemu ya barabara kuu ya Kismayo, kuanza kuondoa vibanda vyao la sivyo vitabomolewa..