Back to homeWatch Original
Wizara ya afya yasitisha huduma za matibabu hospitali ya Nyanchwa kufuatia madeni ya bima ya SHA
video
August 6, 2025
23h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Huduma za matibabu katika hospitali ya kanisa la Kiadvetisti ya Nyanchwa kaunti ya Kisii zimesitishwa na wizara ya afya nchini baada ya madai ya ulaghai wa mamilioni ya fedha za bima ya afya ya SHA. Aidha, barua kutoka wizara ya afya imeagiza wagonjwa wote walio kwenye hospitali ..