Back to home

Kakamega: Moto wa gesi wateketeza zahanati wakati daktari alipokuwa akipika ugali

video
August 6, 2025
16h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wakazi kutoka kijiji cha Avikunga, eneo bunge la Shinyalu, Kaunti ya Kakamega, wataendelea kupata matibabu chini ya mti kwa muda. Hii ni baada ya zahanati waliokuwa wakienda kutafuta matibabu hayo kuteketea kutokana na moto uliosababishwa na gesi iliyolipuka wakati daktari alipok..