Back to homeWatch Original
Kiongozi wa wengi wa bunge la kaunti ya Mombasa atimuliwa
video
August 7, 2025
17h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Bunge la kaunti ya mombasa limemtimua kiongozi wa wengi Athman Mwamwiri baada ya chama cha ODM kuwasilisha hoja hiyo kutokana na uamuzi wa chama mnamo Julai 3..