Back to homeWatch Original
Mtoto auawa kwa kunyongwa Kijijini Kamabundu, Kisii
video
August 7, 2025
8h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Polisi kule Kisii wameanzisha uchunguzi kufuatia kisa ambapo mtoto mwenye umri wa miaka 3 aliyeachwa nyumbani na mamake na mjakazi kupatikana amenyongwa kabla ya mwili wake kulazwa ndani ya nyumba yao..