Back to homeWatch Original
Maafisa wa KWS wakusanya maoni kaunti ya Makueni
video
August 7, 2025
6h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Shirika la Wanyama Pori KWS linaendelea kukusanya maoni ya wakenya kuhusiana na mapendekezo ya kupandishwa kwa ada za kuingia katika mbuga mbalimbaliza wanyama hatua hiyo ikilenga kuongeza mapato ya shirika hilo ili kuliwezesha kukithi mahitaji yanayongezeka kila kuchao...