Back to homeWatch Original
Kasarani: CAF yaonya FKF baada ya kuvunjwa kwa kanuni
video
August 7, 2025
5h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
SHIRIKISHO LA SOKA BARANI AFRIKA CAF LIMETOA ONYO KALI KWA SHIRIKISHO LA SOKA NCHINI FKF KUFUATIA KUVUNJWA KWA BAADHI YA KANUNI WAKATI WA MCHUANO WA HARAMBEE STARS DHIDI YA JAMHURI YA DEMOKRASI YA CONGO UWANJANI KASARANI. MECHI HIYO YA MCHUANO WA CHAN ILISHUHUDIA KUVUNJWA KWA KAN..