Back to homeWatch Original
Maadhimisho ya miaka 18 ya MPESA yafikia Kayole, Mwiki na Githurai
video
August 7, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Msafara wa MPESA Sokoni unakaribia kufikia tamati, hii leo sherehe za maadhimisho ya miaka 18 ya mafanikio ya huduma za MPESA nchini, zikichacha katika mitaa ya Kayole, Mwiki na Githurai. Kampuni ya Safaricom, imeshirikiana na Royal Media Services, kuandaa msururu huu kwa siku 3..