Back to home

Hospitali 40 zaondolewa kwenye mfumo wa SHA

video
August 8, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wizara ya afya imesitisha mara moja huduma katika hospitali 40 nchini, zikiwemo mbili za serikali, kufuatia madai ya udanganyifu uliosababisha ulaghai wa mamilioni ya fedha za bima ya afya ya SHA. Madaktari 12, pia wamepokonywa leseni zao kwa kuhusika katika ulaghai huo..