Back to homeWatch Original
Wakazi wa Ganahola waishi kwa hofu ya maporomoko ya ardhi
video
August 8, 2025
3w ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Tuungane na mwanahabari wetu Fatuma Bugu kuhusu taarifa aliyofanya ya wakazi wa Ganahola, mikindani kaunti ya Mombasa wanaoisihi kwa hofu ya kuangamia sio tu kwa maisha yao bali hata eneo waliloliita nyumbani kwa miaka mingi kutokana na maporomoko ya ardhi. Subscribe and watch ..