Back to home

Ruto atangaza fidia kwa waathiriwa wa maandamano tangu 2017

video
August 8, 2025
6h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Rais William Ruto ametangaza mfumo maalum wa serikali wa kuwafidia raia na maafisa wa usalama walioumia au kupoteza maisha yao wakati wa maandamano na misukosuko ya umma nchini Kenya tangu mwaka wa 2017. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyda..