Back to home

Ustadi wa Austin Odhiambo umedhihirika CHAN 2024

video
August 8, 2025
12h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Mchuano wa CHAN unaoendelea umeweka Kenya katika orodha ya mataifa yaliyo na vijana wenye vipaji barani Afrika. Mchezaji wa Harambee Stars Austin Odhiambo ni mmoja wa wale waliong'aa kwenye kivumbi hicho, akifunga mabao mawili na kuweka hai matumaini ya Kenya. Austin mwenye umri ..