Back to homeWatch Original
watu 50 wafariki katika saa 72
video
August 9, 2025
1d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Watu ishirini na sita wamefariki kufikia sasa kwenye ajali iliyohisusha basi la shule katika kaunti ya Kisumu ijumaa jioni , hii leo, jumamosi, wengine wanane wakifariki katika eneo la Korompoi kwenye barabara kuu ya Namanga kueleka Nairobi na mmoja akifariki huko Machakos...