Back to homeWatch Original
Alpha Chris Onyango anatamba kwenye michuano ya CHAN
video
August 9, 2025
3d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Alpha Chris Onyango alitangazwa mchezaji bora kwenye mechi ya ufunguzi wa CHAN kati ya Harambee Stars na DRC uwanjani Kasarani. Akiwa na miaka 24 pekee, Alpha anapaa kwa kasi kwenye soka barani Afrika...