Back to homeWatch Original
Tiketi za kielektroniki tu zitaruhusiwa Kasarani | Mashabiki watakiwa kufika saa 5 kabla ya mechi
video
August 12, 2025
20h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
SERIKALI SASA INAWATAKA MASHABIKI KUFIKA KATIKA UWANJA WA KASARANI TAKRIBAN SAA TANO KABLA YA MECHI KATI YA HARAMBEE STARS NA CHIPOLOPOLO KUTOKA ZAMBIA SIKU YA JUMAPILI. MWENYEKITI WA KAMATI ANDALIZI YA CHAN NCHINI NICHOLAS MUSONYE AMESEMA HATUA HIYO NI YA KUHAKISHA KUWA TARATIBU..