Back to home

Weego yatoa hamasisho kwa wakenya kuhusu usalama barabarani

video
August 10, 2025
15h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Kampuni ya teksi za mitandaoni ya Weego imewarai wakenya kuwa waangalifu barabarani, ili kupunga ajali za barabarani. Weego iliyoshiriki hafla ya Park and Vibe huko Kirigiti kaunti ya Kiambu, imewaomba madereva wake zaidi ya elfu kumi nchini, kuepuka vileo wanapoingia Barabarani...