Back to homeWatch Original
Familia nne Kangema zaliwazwa na kutoweka kwa wapendwa wao
video
August 11, 2025
3d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
FAMILIA NNE KUTOKA ENEO LA TUTHU, KANGEMA, KAUNTI YA MURANG'A ZINAISHI KWA HUZUNI, MIEZI KADHAA BAADA YA WAPENDWA WAO WANNE KUTOWEKA KWA NJIA ISIYOELEWEKA. FAMILIA HIZO ZINASEMA ZIMEKUWA ZIKIWATAFUTA WANNE HAO KATIKA HOSPITALI TOFAUTI NA HATA KUTEMBELEA MOCHARI JIJINI NAIROBI, L..