Back to home

Wakulima wa Naromoru wapanda aina tofauti ya mbegu

video
August 12, 2025
3w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wakulima katika eneo la Narumoro kaunti ya Nyeri, wana matumaini, baada ya kupokea aina mpya ya maharagwe yanayojulikana kama Waithera, yanayosemekana kutoa mavuno mara sita zaidi ya yale ya kawaida..