Back to home

Serikali haitaachia mikakati ya kutoa vitambulisho kwa wakaazi wa Kaskazini Mashariki, Kindiki adai

video
August 12, 2025
19h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Serikali haitarejea nyuma kwenye mikakati mipya ya kutoa vitambulisho kwa wakazi wa maeneo ya kaskazini mashariki. Naibu rais Profesa Kithure Kindiki amepuuzilia mbali madai kwamba hatua hio itawapa nafasi magaidi wa alshabaab kujisajili kama wakenya. Akizungumza baada ya mkutano..