Back to homeWatch Original
DAP-K kimeamua kuunda jopo maalum la malalamishi
video
August 13, 2025
15h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Katika juhudi za kumaliza mzozo unaoendelea, chama cha DAP-K kimeamua kuunda jopo maalum ya kushughulikia malalamishi yaliyoibuka kuhusu uongozi wa chama hicho. DAP-K sasa inadai kuwa kuna mpango wa rais william ruto kuingilia na kuvuruga chama hicho..