Back to homeWatch Original
Kongamano la tisa la Homa Bay
video
August 13, 2025
15h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Awamu ta tisa ya kongamano la Ugatuzi imeng'oa nanga katika kaunti ya Homa Bay . Rais William Ruto anafungua rasmi kongamano hilo lenye maudhui ya ujumuishaji. Baraza la magavana linashinikiza mgao zaidi wa fedha ili kufanikisha majukumu ya Serikali za ugatuzi..