Back to homeWatch Original
Waziri Murkomen aitisha kikao na wakuu
video
August 13, 2025
2d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Mgogoro unazidi kutokota kuhusu mishahara na usajili wa maafisa wa polisi huku idara ya huduma za polisi - NPS- na tume ya kitaifa ya huduma za polisi zikipimana nguvu - NPSC..