Back to homeWatch Original
Meru: wakazi walilia haki baada ya jamaa mmoja kudaiwa kupigwa risasi mguuni na maafisa wa usalama
video
August 13, 2025
1w ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Baadhi ya wakazi kutoka Igembe Kaskazini, Kaunti ya Meru, wanalilia haki. Hii ni baada ya jamaa mmoja kudaiwa kuvamiwa na kupigwa risasi mguuni na maafisa wa usalama akiwa katika shughuli zake za malisho. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. ..