Back to homeWatch Original
Taita Taveta: Wazazi wanaoishi katika hali duni na ulemavu wapokea msaada wa karo za wanafunzi
video
August 14, 2025
1w ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Baadhi ya wazazi katika kijiji cha Werugha Taita Taveta wenye hali duni na ulemavu wamepokea msaada wa karo za wanafunzi kutoka kwa msamaria mwema. Wanafunzi zaidi ya Mia Tatu walipokea Basari za kiwango cha milioni 1.3 . Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news to..