Back to homeWatch Original
Mahakama yasitisha ujenzi wa hoteli iliyokuwa ikiendelea katika msitu wa Karura
video
August 14, 2025
2h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Mahakama ya Ardhi na Mazingira Nairobi imeamua kuwa ni eka sifuri nukta tatu pekee ya ekari hamsini na moja iliyotengwa na serikali kwa minajili ya kupanua barabara ya Kiambu itachukuliwa na Mamlaka ya Barabara Kuu Nchini (KeNHA) kwa shughuli ya upanuzi wa barabara hiyo. Subscri..