Back to homeWatch Original
Murkomen akutana na machifu
video
August 15, 2025
3w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Machifu na naibu chifu zaidi ya 8,102 nchini wanatarajiwa kupokea mafunzo ya usalama na ujuzi wa kisheria ambapo 1,000 yao tayari wameanza kupata mafunzo katika Chuo cha Kitaifa cha Polisi, Embakasi A, jijini Nairobi..