Back to home

Mahakama ya Eldoret yaamuru serikali kuwasilisha ripoti za mashahidi wa utekaji

video
August 15, 2025
3d ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Mahakama Kuu ya Eldoret imeiamuru serikali kuwasilisha Ripoti za mashahidi wawili walioshuhudia kutekwa nyara kwa Bethwell Chesir, ambaye ni msaidizi wa Mbunge wa Marakwet Mashariki Kangogo Bowen. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as ..