Back to homeWatch Original
Viongozi washinikiza amani wakati wa chaguzi ndogo
video
August 15, 2025
17h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Viongozi wa Kenya kwanza wanashinikiza amani wakati wa uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Malava kaunti ya kakamega utakaofanyika tarehe 27 mwezi Novemba. Viongozi hao waliwataka wakazi kushirikiana na rais william ruto ili aweze kufanikisha mipango iliyoratibiwa ya kuwafaidi wananc..