Back to homeWatch Original
Musingu waishinda Kizuka bao moja kwa nunge
video
August 15, 2025
17h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
About this video
Musingu al maarufu The Scorpion wameishinda Kizuka ya Tanzania bao moja kwa nunge kwenye mechi yake ya ufunguzi ya michezo ya shule za upili ya Afrika Mashariki iliyoingia siku yake ya pili hii leo katika uwanja wa Bukhungu kaunti ya Kakamega. Subscribe and watch NTV Kenya live ..