Back to home

DCP kutaka Ruto azuiliwe kuhutubia umoja wa mataifa kwa madai ya ukiukaji wa haki za kibinaadam

video
August 18, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Chama cha DCP sasa kinasema kitawasilisha hoja kumtaka rais William Ruto kuzuiliwa kutoa hotuba kwenye kongamano lijalo la umoja wa mataifa kutokana na madai ya ukiukaji wa haki za kibinaadam. Kaimu Naibu kinara wa DCP Cleophas Malala ameyasema haya huku akisema chama hicho kiko..