Back to home

Wanafunzi wa vyuo vikuu wataja sintofahamu kuhusu mwongozo mpya wa karo

video
August 18, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wasiwasi imegubika maelfu ya wanafunzi wa vyuo vikuu na wazazi wao majuma kadhaa baada ya wizara ya elimu kutangaza kupunguza karo kwa kati ya asilimia 15 na 40. Hata hivyo wengi wanasema bado hawajapata muongozo wa karo kutoka kwa serikali ili kujipanga mapema. Hata hivyo, wazir..