Back to home

Wanafunzi 81 wa jamii zisizojiweza wanufaika

video
August 19, 2025
1w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Wanafunzi 81 kutoka familia zisizojiweza na waliofanya vyema katika mtihani wa kidato cha 4 mwaka jana wamepata ufadhili wa elimu yao yote ya vyuo vikuu na serikali ya kaunti ya Makueni huku serikali ikitakiwa kupunguza gharama ya elimu ya vyuo vikuu kwani wazazi wengi wameshindw..

Wanafunzi 81 wa jamii zisizojiweza wanufaika (Video)