Back to home

Wanafunzi walalamika wanahangaika kulipia Masomo

video
August 18, 2025
1w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali nchini wameiomba serikali kuuangalia upya mfumo wa ufadhili wa wanafunzi wa vyuo vikuu, wakisema una changamoto nyingi na unawanyanyasa wanafunzi kutoka jamii maskini..