Back to homeWatch Original
Shule zafunguliwa kwa mhula wa tatu | Wazazi walalamikia kuchelewa kwa mgao wa wanafunzi
video
August 25, 2025
8h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Shule zimefunguliwa kwa muhula wa tatu hii leo huku wazazi wakielezea wasiwasi kuhusiana na kucheleweshwa kwa mgao wa wanafunzi. Hata hivyo, imekuwa siku iliyokuwa na pilka pilka nyingi nchini huku wanafunzi wakirejea shule sehemu mbalimbali nchini..