Back to homeWatch Original
Makundi ya vijana yanajihusisha na utunzaji msitu
video
August 19, 2025
10h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Makundi ya vijana wanaohusika na utunzaji wa mazingira kaunti ya Nandi wameanza mikakati ya kuuokoa msitu wa Cengalo ambao umekuwa ukishuhudia uharibifu mkubwa. Vijana wa kikundi cha "MGOGI GREEN MASHINANI" wameanzisha shughuli hii kulinda chemichemi hii ya maji...