Back to home

Wakazi wa Angata Barrikoi waazimia kuishi kwa amani

video
August 20, 2025
4h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Matumaini ya usalama wa kudumu kati ya jamii ambazo zimezozana kwa takriban miaka hamsini eneo la Transmara Kusini yamefufuliwa baada ya wahusika kuapa kudumisha amani na kutoa nafasi kwa serikali kugawa mashamba eneo hilo la utata...