Back to home

Nchi za Kenya na Morocco zaimarisha diplomasia

video
August 20, 2025
6h ago
N
NTV Kenya (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Waziri mkuu na wa masuala ya kigeni Musalia Mudavadi amesema kuwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi ya kenya na morocco umeimarishwa kutokana na kufunguliwa rasmi kwa ubalozi wa kenya jijini rabat mwaka wa 2023. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today..