Back to homeWatch Original
Mradi wa kisima na usambazaji wa maji wakamilika Garbatula
video
August 20, 2025
1w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wakazi wa vijiji vya Gafarsa na Iresaboru katika Kaunti Ndogo ya Garbatula, Kaunti ya Isiolo sasa wana kila sababu ya kutabasamu, baada ya kukamilika na kufunguliwa rasmi kwa mradi wa kisima cha maji na usambazaji wa maji safi kwa matumizi ya nyumbani, pamoja na bwawa maalum na b..