Back to home
Wakenya wamtaka Ruto atekeleze vitisho vyake dhidi ya wabunge wala rushwa
video
C
Citizen TV (Youtube)August 20, 2025
1mo ago
BAADHI YA WAKENYA SASA WANAMTAKA RAIS WILLIAM RUTO KUTEKELEZA VITISHO VYAKE NA KUAGIZA KUKAMATWA KWA WABUNGE WANAOJIHUSISHA NA UFISADI. HATA HIVYO, WENGINE WANASHIKILIA KUWA VITA DHIDI YA UFISADI VIWAHUSISHE VIONGOZI WOTE WA SERIKALI, NA WALA SI WABUNGE NA MASENETA PEKEE. HAYA NI
President Ruto's Corruption Allegations Against Parliament Sparks Political Rift - August 2025
A growing rift has emerged between President William Ruto and Parliament following allegations that some legislators are receiving bribes. The Kenyan Senate challenged President Ruto to provide proof for his claims of extortion and bribery against its members. Senate Speaker Amason Kingi defended senators against allegations that they demand bribes of up to Ksh 150 million to make decisions. In response, some Members of Parliament have accused President Ruto of being the source of corruption within the legislative body. Amid the dispute, some Kenyans are urging the President to follow through on his threats to order the arrest of MPs involved in corruption.
Senate dares Ruto to prove extortion claims
Citizen TV (Youtube)
Video
Wabunge wajitokeza na kumshutumu Rais Ruto kuwa chanzo cha ufisadi bungeni
NTV Kenya (Youtube)
Video
Spika Kingi awatetea maseneta kufuatia madai ya Rais Ruto ya hongo
Citizen TV (Youtube)
Video
5 stories in this topic
View Full Coverage