Back to home

Spika Kingi awatetea maseneta kufuatia madai ya Rais Ruto ya hongo

video
August 20, 2025
5h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

HAYA YAKIJIRI, SPIKA WA BUNGE LA SENETI AMASON KINGI AMELITETEA BUNGE HILO DHIDI YA MADAI YA RAIS WILLIAM RUTO KUWA KUNA BAADHI YAO WANAOITISHA HONGO YA HADI SHILINGI MILIONI 150 KUFANYA MAAMUZI. SPIKA KINGI SASA AKIWATAKA WAKENYA KUWAAMINI MASENETA, AKISISITIZA KWAMBA WENGI WAO ..